Nchi 10 za Afrika zimefuzu mechi za mtoano kuelekea katika Mashindano ya Kombe la Dunia yatakayofanyika Qatar mwakani kuanzia Novemba 21 mpaka Disemba 18, 2022, yakishirikisha mataifa 32 .
Qatar, itashiriki mashindano haya kwa mara ya kwanza kabisa, NA imefuzu kama mwenyeji, ikitarajiwa kuwa timu ya kawaida katika fainali hizo.
10 2022;
1⃣
2⃣
3⃣
4⃣
5⃣
6⃣
7⃣
8⃣
9⃣
The post Nchi 10 za Afrika Zafuzu Mechi za Mtoano Kombe la Dunia appeared first on Global Publishers.
No comments:
Post a Comment