BAO pekee la Alvaro Morata zikiwa zimesalia dakika nne limeipa Hispania tiketi ya Kombe la Dunia mwakani Qatar baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Sweden usiku wa kuamkia leo katika mchezo wa Kundi B Uwanja wa Olímpico de Jijini Sevilla.
Hispania inamaliza na pointi 20, tatu zaidi ya Sweden inayokwenda kucheza Play-Off kujaribu tena kukata tiketi ya Qatar.
Hispania inamaliza na pointi 20, tatu zaidi ya Sweden inayokwenda kucheza Play-Off kujaribu tena kukata tiketi ya Qatar.
No comments:
Post a Comment