MAN CITY YAICHAPA EVERTON 3-0-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

MAN CITY YAICHAPA EVERTON 3-0-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

WENYEJI, Manchester City wameibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya Everton katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Etihad.
Mabao ya Man City leo yamefungwa na Raheem Sterling dakika ya 44, Rodri dakika ya 55 na Bernardo Silva dakika ya 86 na kwa ushindi huo wanafikisha pointi  26, wakizidiwa tatu na vinara, Chelsea baada ya wote kucheza mechi 12.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz