MAKAMBO AFUNGA YANGA SC MLANDEGE 1-0 -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

MAKAMBO AFUNGA YANGA SC MLANDEGE 1-0 -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
BAO pekee la mshambuliaji Mkongo, Heritier Ebenezer Makambo dakika ya 50 limeipa Yanga SC ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Mlandege FC katika mchezo wa kirafiki usiku huu Uwanja wa Amaan, Zanzibar. 
Yanga iliwasili Zanzibar mapema leo kuweka kambi ya wiki moja na ushei kujiandaa na mechi yake ijayo Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Namungo FC Novemba 20 Uwanja wa Ilulu mjini Lindi.
Baada ya mchezo wa leo, Yanga iitateremka tena dimbani Novemba 12 kumenyana na  KMKM hapo hapo Amaan.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz