Majeraha Yamuondoa Kikosini Yacouba-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Majeraha Yamuondoa Kikosini Yacouba-Michezoni leo

Nyota wa Yanga SC raia wa Burkina Faso, Yacouba Songne amepelekwa nje ya nchi kwa ajili ya matibabu kutokana na majeraha aliyoyapata kwenye mchezo wao wa ligi dhidi ya Ruvushooting.

 

Songne anaesumbuliwa na jeraha la goti huenda akawa nje ya uwanja kwa zaidi ya miezi mitatu kutokana na ukubwa wa jeraha hilo.

 

Sogne anaelekea kwenye miezi sita ya mwisho ya mkataba wake ndani ya Yanga lakini kocha Nabi bado anamuhitaji kikosini na Yanga wapo kwenye mazungumzo ya kumpa mkataba mpya.

The post Majeraha Yamuondoa Kikosini Yacouba appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz