LIVERPOOL YAICHAPA SOUTHAMPTON 4-0-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

LIVERPOOL YAICHAPA SOUTHAMPTON 4-0-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
WENYEJI Liverpool wameibuka na ushindi wa 4-0 dhidi ya Southampton katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Anfield leo.
Mabao ya Liverpool leo yamefungwa na mshambuliaji Mreno, Diogo Jota mawili dakika ya pili na 32, kiungo Mspaniola, Thiago Alcântara dakika ya 37 na beki Mholanzi, Virgil van Dijk dakika ya 52.
Kwa ushindi huo, kikosi cha kinafikisha pointi 28 katika mchezo wa 13 na kusogea nafasi ya pili, kikizidiwa pointi moja na vinara, Chelsea ambao pia wana mechi moja mkononi. Southampton inabaki na pointi zake 14 za mechi 13 nafasi ya 14. 
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz