LIVERPOOL YAENDELEZA USHINDI 100% ULAYA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

LIVERPOOL YAENDELEZA USHINDI 100% ULAYA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

WENYEJI, Liverpool jana wameedeleza wimbi la ushindi baada ya kuichapa Porto mabao 2-0 katika mchezo wa Kundi Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Anfield.
Mabao ya Liverpool jana yamefungwa na Thiago Alcantara dakika ya 52 na Mohamed Salah dakika ya 70 na ushindi huo ni mwendelezo wa rekodi nzuri ya kushinda mechi zake zote. 
Liverpool sasa inafikisha pointi 15 na kuendelea kuongoza kundi hilo ikifuatiwa kwa mbali na Porto pointi tano, AC Milan nne sawa na Atletico Madrid baada ya wote kucheza mechi tano.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz