KMC YAPATA USHINDI WA KWANZA LIGI KUU-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

KMC YAPATA USHINDI WA KWANZA LIGI KUU-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

TIMU ya KMC imepata ushindi wa kwanza wa msimu baada ya kuichapa Azam FC 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.
Mabao ya KMC leo yamefungwa na Matheo Anthony Simon dakika ya 13 na Hassan Salum Kabunda dakika ya 90, huku la Azam FC likifungwa na Mzambia, Charles Zullu dakika ya 43.
Kwa matokeo hayo, KMC inafikisha pointi tano na kupanda kwa nafasi mbili kutoka mkiani katika ligi ya timu ya timu 16.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz