HAKIM ZIYECH AING’ARISHA CHELSEA ULAYA -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

HAKIM ZIYECH AING’ARISHA CHELSEA ULAYA -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

BAO pekee la Hakim Ziyech dakika ya 56 limeipa  Chelsea ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Malmö FF katika mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa Jumanne Uwanja wa Eleda mjini Malmö.
Chelsea inafikisha pointi tisa na kuendelea kushika nafasi ya pili nyuma ya Juventus yenye pointi 12 na mbele ya Zenit yenye pointi tatu, wakati Malmo inaendelea kushika mkia baada ya kufungwa mechi zote nne.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz