KLABU ya Aston Villa imeteua gwiji wa Liverpool, Steven Gerrard kuwa kocha wake mpya, baada ya kumfukuza Dean Smith.
Gerrard, mwenye umri wa miaka 41, anatua Villa Park baada ya kufanya kazi nzuri akiwa na Rangers ya Scotland na mechi yake ya kwanza dhidi ya timu yake aliyoichezea kwa mafanikio, Liverpool itakuwa Desemba 11 Uwanja wa Anfield.
No comments:
Post a Comment