DODOMA JIJI YALAZIMISHWA SARE NA COASTAL-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

DODOMA JIJI YALAZIMISHWA SARE NA COASTAL-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
WENYJI, Dodoma Jiji FC wamelazimishwa sare ya bila kufungana na Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku wa Jumapili Uwanja wa Jamhiri Jijini Dodoma.
Kwa sare hiyo, Dodoma Jiji wanafikisha pointi 12 na kurejea nafasi ya tatu, wakati Coastal Union inatimiza pointi nane na kusogea nafasi ya saba baada ya wote kucheza mechi saba.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz