KIUNGO Hassan Dilunga ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa mwezi Oktoba wa klabu ya Simba ambayo hutolewa na kampuni ya Emirate Alminium ACP.
Kwa ushindi huo, Dilunga amezawadiwa kiasi cha Sh. Milioni 2 kutoka kampuni Emirate Alminium ACP.
Kwa ushindi huo, Dilunga amezawadiwa kiasi cha Sh. Milioni 2 kutoka kampuni Emirate Alminium ACP.
No comments:
Post a Comment