CHELSEA YAITANDIKA LEICESTER 3-0-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

CHELSEA YAITANDIKA LEICESTER 3-0-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB


VINARA, Chelsea wameibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Leicester City katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa King Power.
Mabao ya The Blues yamefungwa na Antonio Rudiger dakika ya 14, N'Golo Kante dakika ya 28 na Christian Pulisic dakika ya 71 na kwa ushidi huo, Chelsea inafikisha pointi 29 baada ya kucheza mechi 12 na sasa wanawazidi pointi sita Manchester City wanaofuatia ambao pia wana mechi moja mkononi.
Leicester City inabaki na pointi zake 15 za mechi 12 katika nafasi ya 12.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz