Breaking News: Pablo Franco Kocha Mpya Simba -Video-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Breaking News: Pablo Franco Kocha Mpya Simba -Video-Michezoni leo

KLABU ya Simba SCimeingia mkataba wa miaka miwili na Kocha Pablo Franco Martín (41) raia wa Hispania kukinoa kikosi hicho kuanzia leo Novemba 6, 2021.

Pablo anachukua nafasi ya Didier Gomes Da Rosa raia wa Ufaransa ambaye mkataba wake  ulisitishwa wiki mbili zilizopita baada ya makubaliano ya pande mbili.

Kabla ya kujiunga na Simba alikuwa anafundisha timu ya Al Qadsia SC ya Quwait kuanzia mwaka 2019 hadi 2021.

Pablo ni muhumini wa soka la kushambulia alikuwa kocha Msadizi wa Real Madrid mwaka 2018 chini ya Kocha Julen Lopetegui na baadae Santiago Solari.

Mwaka 2015 alikuwa kocha wa Getafe inayoshiriki Ligi Kuu ya Hispania

Years Team
2008–2009 Coria (assistant)
2009–2010 Fuenlabrada (assistant)
2010–2012 Santa Eugenia
2012–2013 Illescas
2013–2014 Puertollano
2014–2015 Getafe B
2015 Getafe
2016 Saburtalo Tbilisi
2017-2018 BSU (assistant)
2018 Real Madrid (assistant)
2019–2021 Al-Qadsia

The post Breaking News: Pablo Franco Kocha Mpya Simba -Video appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz