AZAM FC YACHAPA JKU 4-1 CHAMAZI -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

AZAM FC YACHAPA JKU 4-1 CHAMAZI -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

WENYEJI, Azam FC wameibuka na ushindi wa 4-1 dhidi ya JKU ya Zanzibar katika mchezo wa kirafiki jioni ya leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
Mabao ya Azam FC leo yamefungwa na Mkongo Idris Mbombo moja kwa penalti dakika ya 19 na lingine dakika ya 40 na Wazambia, Charles Zulu dakika ya 23 na Rodgers Kola dakika ya 90, wakati la JKU limefungwa na Mustafa Hassan dakika ya 81 kwa penalti pia.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz