ARSENAL YAICHAPA NEWCASTLE UNITED 2-0-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

ARSENAL YAICHAPA NEWCASTLE UNITED 2-0-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
WENYEJI, Arsenal wameibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Newcastle United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Emirates Jijini London.
Mabao ya Arsenal yamefungwa na Bukayo Saka dakika ya 56 na Gabriel Martinelli dakika ya 66 na kwa ushindi huo wanafikisha pointi 23 na kusogea nafasi ya tano, wakati Newcastle United inabaki na pointi zake sita na kuendelea kushika mkia.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz