AGGREY MORRIS ASOMEA UKOCHA KOZI YA CAF-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

AGGREY MORRIS ASOMEA UKOCHA KOZI YA CAF-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

BEKI aliyesimamishwa Azam FC kwa utovu wa Nidhamu, Aggrey Morris Ambrose ni miongoni mwa washiriki wa Koziya Ukocha ya CAF Diploma C inayoendelea Makao Makuu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Uwanja wa Karume, Ilala Jijini Dar es Salaam.


Pamoja na Aggrey Morris, lakini wapo mshambuliaji wa zamani wa Simba na Yanga, Shauri Iddi Mussa na mchambuzi wa Azam Tv, Ally Kamwe.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz