Yanga Yateua Kamati ya Ufundi-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Yanga Yateua Kamati ya Ufundi-Michezoni leo

MWEMYEKITI wa Yanga kwa kushirikiana na Kamati ya Utendaji Klabu hiyo wameteua Kamati ya Ufundi yenye watu 6.
 
Kamati ya hiyo imemteua Dominck Albinus kuwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo na Salim Rupia kuwa Makamu Mwenyekiti.
 
Wajumbe wanaounda Kamati hiyo ni;
 
1. Ally Mayay
2. Kenny Mwaisabula
3. Sunday Manara
4. Kanali Idd Kipingu.

The post Yanga Yateua Kamati ya Ufundi appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz