Wapinzani wa Simba CAF Waingiwa Mchecheto-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Wapinzani wa Simba CAF Waingiwa Mchecheto-Michezoni leo

KOCHA Mkuu wa Jwaneng Galaxy, Morena Ramoreboli, amesema wanatakiwa kufanya kazi nzito ili kuhakikisha wanaiondoa Simba katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu kwani wapinzani wao hao wana kikosi bora.

Simba katika michuano hiyo, wanaanzia ugenini kwenye hatua ya kwanza kwa kucheza dhidi ya Jwaneng ya Botswana. Mechi ya kwanza ikichezwa Oktoba 17, kisha marudiano Oktoba 22.

Morena alisema: “Ninaheshimu sana uwezo wa Simba ambao wameuonesha katika miaka ya hivi karibuni, katika michuano ya kimataifa wamefika hatua nzuri, ni timu kubwa, hivyo tunatakiwa kupambana haswa ili kutimiza malengo yetu ambayo ni kusonga mbele.

“Tunayo faida ya kuanzia nyumbani, hivyo tunatakiwa kufanya vizuri katika mchezo wetu wa mwanzo, tutapambana kuhakikisha tunasonga mbele, hakuna namna nyingine zaidi ya kwenda kupambana na Simba.”

MARCO MZUMBE, Dar es Salaam

The post Wapinzani wa Simba CAF Waingiwa Mchecheto appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz