WACHEZAJI YANGA WAMZIKA BABA YAKE BOXER -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

WACHEZAJI YANGA WAMZIKA BABA YAKE BOXER -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

WACHEZAJI wa Yanga jana wameshiriki mazishi ya baba wa mchezaji mwenzao, Paul Godfrey Nyang'anya  'Boxer' aliyefariki Dunia Jumatatu Jijini Dar es Salaam.
Msiba huo ulitokea wakati Boxer, beki wa kulia akiwa Songea mkoani Ruvuma na timu kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya KMC uliofanyika Jumanne na Yanga ikashinda 2-0 Uwanja wa Maji Maji.Na baada ya timu kurejea tu Dar es Salaam Jumatano msafara ukaenda hospitali ya Temeke kuuga mwili wa marehemu kabla ya mazishi jioni yake. Mungu ampumzishe kwa amani marehemu. Amin.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz