Wachezaji Wahara na Kutapika Kabla ya Mechi-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Wachezaji Wahara na Kutapika Kabla ya Mechi-Michezoni leo

SHIRIKISHO la Soka nchini Guinea Bissau limeripoti kwamba wachezaji wake 25 na baadhi ya viongozi wa benchi la ufundi wameugua kuhara na kutapika baada ya kula chakula cha jana usiku ambapo walikimbizwa hospitali kwa ajili ya uchunguzi wa haraka na matibabu.

 

Guinea Bissau wapo ugenini nchini Morocco ambapo leo majira ya saa 4:00 usiku watacheza na Timu ya Taifa ya nchi hiyo kwa ajili ya kufuzu fainali za Kombe la Dunia 2022. @FIFAWorldCup #WCQ2022.

The post Wachezaji Wahara na Kutapika Kabla ya Mechi appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz