Uefa Nations League Na World Cup Qualifiers Kuendelea Leo-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Uefa Nations League Na World Cup Qualifiers Kuendelea Leo-Michezoni leo

Kandanda la vilabu limesimama kwa wiki 2 kupisha michezo ya Timu za Taifa. Wiki hii, nusu fainali za Uefa Nations League zitachezwa. Sambamba na hilo, Mataifa yataendelea na safari ya kuwania nafasi ya kucheza Kombe la Dunia 2022 kule Qatar. Meridianbet tumekuwekea mambo namna hii;

 

Italia watawaalika Hispania katika nusu fainali ya kwanza ya Uefa Nations League leo usiku. Huu ni mchezo unaozikutanisha timu ambazo zilishakutana tena kwenye hatua hii hii, mwaka huu huu kwenye mashindano ya Euro 2020. Italia ataendeleza ubabe au Hispania atapindua meza? Ifuate Odds ya 2.45 kwa Italia ukiwa na Meridianbet.

 

Alhamisi, Ubelgiji itachuana na Ufaransa. Timu mbili zenye viwango bora kwenye orodha ya dunia. Lukaku uso kwa uso na Benzema, wachezaji wawili ambao wapo kwenye ubora wao msimu huu. Watawapa matokeo gani mashabiki wa mataifa yao? Odds ya 3.20 ipo kwa Ubelgiji ndani ya Meridianbet.

 

Kunako michezo ya kufuzu Komba la Dunia, 2022. Uturuki kuwakaribisha Norway katika muendelezo wa kuisaka tiketi ya kwenda Qatar. Timu hizi zilionesha uwezo wao kwenye mashindano ya Euro 2020, huu ni muendelezo katika viwango vikubwa zaidi. Mdhamini shujaa wako kwa kuifuata Odds ya 2.12 kwa Uturuki kupitia Meridianbet.

 

Finland kuchuana na Ukraine jumamosi hii. Huu ni mchezo mwingine ambao unaweza kukupa faida kubwa ukichagua kubashiri na Meridianbet. Safari ya kucheza Kombe la Dunia sio nyepesi. Ifuate Odds ya 2.20 kwa Ukraine wikiendi hii.

The post Uefa Nations League Na World Cup Qualifiers Kuendelea Leo appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz