TWIGA STARS MABINGWA COSAFA 2021-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

TWIGA STARS MABINGWA COSAFA 2021-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

TIMU ya taifa ya wanawake ya Tanzania imefanikiwa kutwaa ubingwa wa COSAFA baada ya kuichapa Malawi 1-0 jioni ya leo Uwanja wa Nelson Mandela Bay Jijini Port Elizabeth nchini Afrika Kusini.
Pongezi kwa mfungaji wa bao hilo pekee Enekia Kisonga dakika ya 64, mchezaji wa Alliance ya Mwanza ambaye hivi karibuni klabu yake imeripotiwa kumuuza Morocco.
Baada ya mchezo huo, Tuzo ya mchezaji bora wa mchezo huo, Nahodha wa Twiga Stars Amina Bilal alipewa tuzo ya Mchezaji Bora wa kwa mara ya pili mfululizo na kuchaguliwa Mchezaji Bora wa mashindano hayo.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz