TANZANITE YASONGA MBELE KOMBE LA DUNIA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

TANZANITE YASONGA MBELE KOMBE LA DUNIA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

TIMU ya taifa ya Tanzania ya wasichana chini ya umri wa miaka 20 imefanikiwa kwenda Raundi ya Tatu ya michuano ya kuwania tiketi ya Fainali za Kombe la mwakani baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ga Eritrea leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
Mabao ya Tanzanite leo yamefungwa na Irene Kisisa na Protas Mbunda na kwa matokeo hayo, mabinti wa nchi ya Rais Samia Suluhu Hassan wanakwenda Raundi ya Tatu kwa ushindi wa jumla wa 5-0 kufuatia kuwachapa Eritrea 3-0 kwenye mechi ya kwanzq Septemba 25 Jijini Asmara.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz