TANZANITE YAANZA VYEMA CECAFA U20 -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

TANZANITE YAANZA VYEMA CECAFA U20 -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

TANZANIA imeanza vyema michuano ya wasichana chini ya umri wa miaka 20 Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge Women’s 20 baada ya kuichapa Eritrea 1-0 jioni ya leo Uwanja wa FTC Njeru nchini Uganda.   
Bao pekee la Tanzanite jioni ya leo limefungwa na Clara Luvanga dakika ya 90 na timu hiyo itashuka tena dimbani Jumatatu kumenyana na Burudani kabla ya kuivaa Ethiopia Jumatano, Uganda Jumamosi ijayo na kukamilisha mechi zake kwa kucheza na Djibouti Novemba 9.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz