Stars Yatakata Benin-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Stars Yatakata Benin-Michezoni leo

TIMU ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars  leo Oktoba 10, imefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Benin kwenye mchezo wa kufuzu fainal za kombe la dunia 2022, mchezo uliochezwa kwenye dimba la Stade de I’amitie Mathieu Cotonou, Benin.

 

Goli pekee la Stars  limekwamishwa wavuni  katika kipindi cha kwanza na Simon Msuva dakika ya 6’ kwa mkwaju mkali uliomshinda mlinda mlango wa Benin.

 

Kwa matokeo hayo Stars inaongoza kundi J kwa kufikisha alama 7 sawa na   Benin wakitofautiana magoli ya kufunga na kufungwa.

Stars imebakiza mechi mbili dhidi ya Jamhuri ya Kidemokrasia Kongo DRC itakayochezwa Dar, na mechi ya mwisho dhidi ya Madagascar ugenini.

 

The post Stars Yatakata Benin appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz