Stars Yapoteza Dhidi ya Benin kwa Mkapa-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Stars Yapoteza Dhidi ya Benin kwa Mkapa-Michezoni leo

TIMU ya Tanzania Taifa Stars leo Oktoba 7, 2021 imekubali kipigo cha bao 1-0 dhidi ya Benin kwenye mchezo wa kufuzu fainali za kombe la dunia.

Stars ilipoteza nafasi za wazi za kufunga kwenye kipindi cha kwanza ambazo zingetumiwa vema huenda zingebadili matokeo.

Bao pekee la Benin limefungwa na mshambuliaji Steve Mounie dakika ya 72 ya mchezo, baada ya ushindi huu Benin wanaongoza msimamo wa kundi J kwa kufikisha alama 7, wakifuatiwa na DRC yenye alama 5 baada ya ushindi dhidi ya Madagascar.

Kikosi cha Stars kitaondoka nchini  kesho kuelekea Benin na Ockota 10, stars itakuwa na kibarua kigumu dhidi ya Benin.

The post Stars Yapoteza Dhidi ya Benin kwa Mkapa appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz