Solskjaer: Msimponde Ronaldo Mtaumbuka-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Solskjaer: Msimponde Ronaldo Mtaumbuka-Michezoni leo

KOCHA wa Man United, Ole Gunnar Solskjaer, amesema kama kuna mtu anataka kumponda Cristiano Ronaldo basi aangalie mechi kati ya Man United na Atalanta.

 

Ronaldo juzi alifanikiwa kuibuka shujaa baada ya kuifungia timu yake ya Man United bao la ushindi kwenye matokeo mazuri ya 3-2 waliyoyapata katika Ligi ya Mabingwa Ulaya.

 

“Kama kuna mtu anataka kumponda Ronaldo anatakiwa kuangalia kiwango chake kwenye mchezo huu.

 

“Anatakiwa kuona jinsi ambavyo amekuwa akijituma uwanjani, amtazame jinsi ambavyo amekuwa akikimbia, ni mchezaji mzuri sana mbele ya lango, bao alilofunga ndiyo linaonyesha ubora alionao,” alisema kocha huyo.

The post Solskjaer: Msimponde Ronaldo Mtaumbuka appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz