Simba Yatupwa Nje Ligi ya Mabingwa, Yapigwa Kwa Mkapa-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Simba Yatupwa Nje Ligi ya Mabingwa, Yapigwa Kwa Mkapa-Michezoni leo

TIMU ya Simba imetolewa rasmi kwenye michuano ya Ligi Mabingwa Afrika baada ya kufungwa Jwaneng Galaxy kwa mabao 3-1, mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa Benjamin  Mkapa.

 

Simba ambayo ilianza vema kipindi cha kwanza ilienda mapunziko ikiwa mbele  kwa bao 1-0 goli la Larry Bwalya, lakini Galaxy waligeuza kibao kupachika magoli 3.

 

Matokeo ya Jumla ni 3-3 lakini Simba imetolewa kwa baada ya Galaxy kuwa na magoli mengi ya ugenini sasa Simba itacheza  kwenye michuano ya kombe la shirikisho.

The post Simba Yatupwa Nje Ligi ya Mabingwa, Yapigwa Kwa Mkapa appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz