Simba Yalia na Ubovu wa Viwanja-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Simba Yalia na Ubovu wa Viwanja-Michezoni leo

BAADA ya kukamilisha dakika 180 za msako wa pointi sita ndani ya Ligi Kuu Bara na kuambulia nne, mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba wamebainisha kuwa ubovu wa viwanja umewanyima uhuru wa kucheza mpira wa pasi nyingi waliouzoea.

Kikosi hicho kilifungua pazia la ligi kwa kucheza na Biashara United kwenye Uwanja wa Karume, Mara na kushindwa kufungana, kabla ya mchezo wa pili dhidi ya Dodoma Jiji pale Uwanja wa Jamhuri, Dodoma, kuibuka na ushindi wa bao 1-0.

Akizungumza na Spoti Xtra, Kocha Msaidizi wa Simba, Seleman Matola, alisema: “Ninaweza kusema kwamba ligi ina ushindani mkubwa na kila timu inahitaji ushindi, hilo ni jambo zuri, lakini kwetu tulianza kwa tabu kidogo hasa ukizingatia sehemu ya kuchezea haikuwa rafiki kwetu.

“Ukitazama wachezaji wetu wamepambana sana kusaka ushindi ila ilikuwa ni ngumu kucheza ule mchezo ambao tumeuzoea wa pasi pamoja na kuwapa uhuru wachezaji kushinda mapema, hakuna namna lazima mapambano yaendelee.”

LUNYAMADZO MLYUKA

The post Simba Yalia na Ubovu wa Viwanja appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz