SIMBA SC YALAZIMISHWA SARE 0-0 NA COASTAL -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

SIMBA SC YALAZIMISHWA SARE 0-0 NA COASTAL -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

MABINGWA watetezi, Simba SC wamelazimishwa sare ya bila kufungana na Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku wa leo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
Timu zote zilimaliza pungufu baada ya mchezaji mmoja kila upande kutolewa kwa kadi nyekundu, wakianza Coastal kumpoteza Benedictor Jacob Mwamlangwa dakika ya 29, kabla ya Simba kumpoteza beki wake Mkongo, Hennock Inonga Baka dakika ya 90.
SIimba SC inafikisha pointi nane na Coastal imetimiza pointi tatu katika mchezo wa nne kila timu.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz