SARE ZA 1-1 MECHI ZOTE ZA LIGI KUU LEO-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

SARE ZA 1-1 MECHI ZOTE ZA LIGI KUU LEO-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

MECHI zote mbili za Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo zimemalizika kwa sare ya 1-1 Namungo FC na KMC na Geita Gold na Mbeya City.
Uwanja wa Ilulu mjini Lindi, Charles Ilamfya alianza kuifungia KMC dakika ya 30, kabla ya Shiza Kichuya kuisawazishia Namungo FC dakika ya 43 kwa penalti.
Uwanja wa Nyankumbu, Juma Luizio alianza kuifungia Mbeya City dakika ya 45, kabla ya George Mpole kuwasawazishia wenyeji Geita dakika ya 57.
Namungo inafikisha pointi tano, KMC pointi mbili sawa na Geita Gold na Mbeya City pointi sita baada ya timu zote kucheza mechi nne.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz