SARE TUPU MECHI ZA LIGI KUU JUMAMOSI-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

SARE TUPU MECHI ZA LIGI KUU JUMAMOSI-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

TIMU ya Geita Gold imelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Mtibwa Sugar ya Morogoro katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya Jumamosi Uwanja wa Nyankumbu, Geita.
Danny Lyanga alianza kuifungia Geita Gold dakika ya 47, kabla ya Boban Zirintusa kuisawazishia Mtibwa Sugar dakika ya 64 katika mchezo ambao kila timu ilipoteza mkwaju wa penalti.
Na Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba, Kagera Sugar ililazimishwa sare ya bila kufungana na Mbeya City.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz