SANE APIGA MBILI, BAYERN MUNICH YASHINDA 4-0-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

SANE APIGA MBILI, BAYERN MUNICH YASHINDA 4-0-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

WENYEJI, Benfica wamechapwa mabao 4-0 na Bayern Munich katika mchezo wa Kundi E Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa Jumatano Uwanja wa Luz Jijini Lisbon, Ureno.
Mabao ya Bayern Munich yamefungwa na Leroy Sane mawili dakika ya 70 na 84, Éverton aliyejifunga dakika ya 80 na Robert Lewandowski dakika ya 82.
Bayern Munich inafikisha pointi tisa na kuendelea kuongoza Kundi E, ikifuatiwa na Benfica yenye pointi nne, Barcelona pointi tatu na
Dynamo Kiev yenye pointi moja baada ya mechi tatu za awali.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz