RONALDO AFUNGA, URENO YAUA 3-0-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

RONALDO AFUNGA, URENO YAUA 3-0-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

NYOTA wa Manchester United, Cristiano Ronaldo jana aliiongoza Ureno kuwaadhibu wenyeji wa fainali zijazo za Komb ela Dunia, Qatar kwa kuwachapa mabao 3-0 katika mchezo wa kirafiki, yeye akifunga la kwanza dakika ya 37, kabla ya José Fonte kufunga la pili dakika ya 48 na André Silva la tatu dakika ya 90 Uwanja wa Do Algarve Jijini Sao Joao da Venda, Ureno.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz