Ronaldinho Arejea PSG – Video-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Ronaldinho Arejea PSG – Video-Michezoni leo

Mchezaji wa zamani wa PSG, Barcelona na Timu ya Taifa ya Brazil, Ronaldinho Gaucho usiku wa kuamkia leo ameibukia Ufaransa kunako klabu yake ya zamani ya PSG kushuhudia mechi ya Uefa Champions League dhidi ya RB Leizpig.

 

PSG wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 3-2 huku Lionel Messi akiweka kambani bao 2 na bao moja akifunga Mbappe na kukosa penati dakika za nyongeza.

 

Gaucho aliichezea PSG kuanzia mwaka 2001 hadi 2003 katika michezo 55 na kuifungia jumla ya mabao 17 kabla ya kutimkia Barcelona ya Hispania.

 

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Global Publishers (@globalpublishers)

The post Ronaldinho Arejea PSG – Video appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz