RAIS SAMIA AWAZAWADIA VIWANJA TWIGA STARS-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

RAIS SAMIA AWAZAWADIA VIWANJA TWIGA STARS-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan ametoa zawadi ya viwanja kwa timu ya taifa ya wanawake 'Twiga Stars' kwa kutwaa ubingwa wa COSAFA hivi karibuni nchini Afrika Kusini.
Rais Samia ametoa zawadi hiyo mchana wa leo alipojumuika na wachezaji wa Twiga Stars kwa chakula cha mchana Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz