Ndayiragije Atupiwa Virago Geita Gold-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Ndayiragije Atupiwa Virago Geita Gold-Michezoni leo

Klabu ya Geita Gold imetangaza kuachana na kocha wake mkuu Mrundi Etiene Ndayiragije kuanzia Oktoba 23, 2021.

Kwa mujibu wa taarifa ya klabu hiyo, uamuzi huo umefikiwa baada ya kocha huyo kushindwa kufikia malengo waliyokubaliana. Kwa sasa timu hiyo itakuwa chini ya kocha Fredy Minziro.

The post Ndayiragije Atupiwa Virago Geita Gold appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz