NBC WADHAMINI WAPYA WAKUU LIGI KUU-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

NBC WADHAMINI WAPYA WAKUU LIGI KUU-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB


RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia na Mkurugenzi Mtendaji wa NBC Theobald Sabi wakionyesha nakala za mkataba wa Udhamini Mkuu wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara wenye thamani ya Sh. bilioni 2.5 uliosainiwa leo Jijini Dar es Salaam.

Benki ya NBC imeingia mkataba wa miaka mitatu na TFF kudhamini Ligi Kuu kuanzia msimu huu
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz