Msolla, Mangungu Wajitosa Uenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Msolla, Mangungu Wajitosa Uenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu-Michezoni leo

Mwenyekiti wa Yanga Dkt. Mshindo Msolla na Mwenyekiti wa Simba Murtaza Mangungu ni miongoni mwa majina yaliyopita katika mchujo wa awali kuwania nafasi ya Uenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu.

Jina lingine lililopenya katika mchujo huo ni Steven Mnguto ambaye anatetea nafasi hiyo kutoka Coastal Union ya Tanga.

The post Msolla, Mangungu Wajitosa Uenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz