MCHEZAJI WA ZAMANI WA SIMBA AFARIKI DUNIA -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

MCHEZAJI WA ZAMANI WA SIMBA AFARIKI DUNIA -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

MCHEZAJI wa zamani wa Simba SC, Akilimali Yahya, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumamosi ya Oktoba 30, 2021 katika Hospital ya Maweni, Kigoma.
Winga huyo aliyecheza Simba SC kuanzia mwaka 2003 hadi 2008 anatarajiwa kuzikwa jioni ya leo nyumbani kwao Ujiji Kigoma.
Baada ya kucheza Simba SC kati ya 2003 na 2008, Akilimali aliyezaliwa Desemba 5, mwaka 1986 alikwenda Mtibwa Sugar ambako alicheza hadi 2010 alipohamia JKT Tanzania alikocheza kwa msimu mmoja akahamia  Coastal Union ya Tanga kabla ya kustaafu soka ya ushindani.
Mungu ampumzishe kwa amani. Amin.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz