Mataifa Kuendelea Na Mchakato Wa Kuelekea Qatar-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Mataifa Kuendelea Na Mchakato Wa Kuelekea Qatar-Michezoni leo

Viwanja kadhaa kutoa burudani ya kimatifa katika muendelezo wa michezo ya kuwania nafasi ya kucheza Kombe la Dunia 2022, Qatar. Meridianbet tumekusogezea Odds zinazoendana na ukubwa wa hatua hii, wikiendi hii mambo yapo hivi;

 

Venezuela kuwaalika Ecuador. Soka la Amerika katika ubora wake. Mdhamini shujaa wako wikiendi hii kwa kuifuata Odds ya 2.01 kwa Ecuador wikiendi hii.

 

Ni fainali ya UEFA Nations League Kunako soka la kimatifa barani Ulaya. Hispania kuchuana na Ufaransa. Mataifa mawili yenye historia ya kutwaa mataji kwenye ulimwengo wa soka la kimataifa. Nani kuondoka na kombe jumapili hii? Ifuate Odds ya 2.50 kwa Ufaransa ukiwa na Meridianbet wikiendi hii.

 

Jumatatu, itakua ni zamu ya Denmark vs Austria. Tumu 2 zilizoonesha uwezo mkubwa na ari ya ushindani kwenye mashindano ya Euro2020. Mwisho wa Euro2020, ndio mwanzo wa World Cup Qualifiers 2022 – ni Denmark au Austria atakayekutoa kimasomaso? Ifuate Odds ya 1.27 kwa Denmark kunako Meridianbet.

 

Burudani ya wiki nzima itakua kwenye mchezo wa Argentina vs Uruguay. Hapa Lionel Messi, kule swahiba wake wa karibu – Luis Suarez. Hakuna kulala! Pira la viwango vya kimaifa, upinzani usioumiza na Odds za kibingwa. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.27 kwa Argentina jumatatu hii.

 

Meridianbet, Nyumba Yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!

The post Mataifa Kuendelea Na Mchakato Wa Kuelekea Qatar appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz