MAN UNITED YAZINDUKA, YASHINDA 3-0-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

MAN UNITED YAZINDUKA, YASHINDA 3-0-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

TIMU ya Manchester United imezinduka na kuichapa Tottenham Hotspur mabao 3-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa  Tottenham Hotspur Jijini London.
Mabao ya Manchester United leo yamefungwa na Cristiano Ronaldo dakika ya 36, Edinson Cavani dakika ya 64 na Marcus Rashford dakika ya 86.
Kwa ushindi huo, Manchester United imefikisha pointi 17, mbili zaidi ya Tottenham baada ya timu zote kucheza mechi 10.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz