MAN CITY YAITANDIKA BRIGHTON & HOVE ALBION 4-1-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

MAN CITY YAITANDIKA BRIGHTON & HOVE ALBION 4-1-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
MABINGWA watetezi, Manchester City jana wameibuka na ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji, Brighton & Hove Albion Uwanja wa The AMEX.
Mabao ya Man City yalifungwa na Ilkay Gundogan dakika ya 13, Phil Foden mawili dakika ya 28 na 31 na Riyad Mahrez dakika ya 90 na ushei, wakati bao pekee la Alexis Mac Allister dakika ya 81 kwa penalti.
Man City inafikisha pointi 20 na kusogea nafasi ya pili, ikizidiwa pointi mbili na vinara, Chelsea, wakati Brighton inabaki na pointi zake 15 katika nafasi ya nne baada ya timu zote kucheza mechi tisa.

 
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz