LIVERPOOL YADUWAZWA NYUMBANI NA BRIGHTON -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

LIVERPOOL YADUWAZWA NYUMBANI NA BRIGHTON -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

WENYEJI, Liverpool wamelazimishwa sare ya 2-2 na Brighton & Hove Albion katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield.
Liverpool ilitangulia kwa mabao ya Jordan Henderson dakika ya nne na Sadio Mane dakika ya 24, kabla ya Brighton kuzinduka kwa mabao ya Enock Mwepu dakika ya 41 na Leandro Trossard dakika ya 65.
Kwa sare hiyo ya nyumbani, kikosi cha Jurgen Klopp kinafikisha pointi 22, kikizidiwa pointi tatu na Chelsea inayoongoza baada ya wote kucheza mechi 10.
Brighton yenyewe baada ya sare ya leo inafikisha pointi 16 kufuatia kucheza mechi 10 pia kikisogea nafasi ya sita.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz