LEICESTER WAITANDIKA MAN UNITED 4-2-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

LEICESTER WAITANDIKA MAN UNITED 4-2-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

WENYEJI, Leicester City wamewatandika Manchester United mabao 4-2 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa King Power, Leicester, Leicestershire.
Mabao ya Leicester City yamefungwa na Youri Tielemans dakika ya 31, Caglar Soyuncu dakika ya 78, Jamie Vardy dakika ya 83 na mshambuliaji Mzambia, Patson Daka dakika ya 90, wakati ya Man United yamefungwa na Mason Greenwood dakika ya 19 na Marcus Rashford dakika ya 82.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz