Koeman Atupiwa Virago Barca-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Koeman Atupiwa Virago Barca-Michezoni leo

KLABU ya Barcelona ya imemtimua kocha Mdachi, Ronald Koeman saa chache baada ya kupokea kichapo dhidi ya Rayo Vallecano jana usiku.

Taarifa za kufutwa kazi kwa Kocha huyo zimetolewa jana wakati Koeman na timu yake wakiwa kwenye ndege ya kurudi Barcelona kutokea kupokea kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Rayo Vallecano.

Barcelona ipo nafasi ya 9 katika Msimamo wa La liga na katika michuano ya Klabu Bingwa Ulaya imepoteza mechi zake mbili za kwanza katika hatua ya makundi kwa mara ya kwanza katika michuano hiyo.

 

Wakati huo Legend wa Klabu hiyo  Xavi Hernandez  anapigiwa chapuo la kubeba mikoba ya Mholanzi huyo katika viunga vya Camp Nou.

The post Koeman Atupiwa Virago Barca appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz