Kikosi Bora Cha Ligi ya Wanaume na Wanawake hiki hapa-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Kikosi Bora Cha Ligi ya Wanaume na Wanawake hiki hapa-Michezoni leo

Utoaji wa tuzo umefanyika Oktoba 21 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere uliopo Posta, Dar es salaam.Tuzo hizo ziligawanyika katika makundi makuu matatu ambayo ni ligi kuu, Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC), maarufu kama FA na Ligi ya Wanawake.

Kikosi bora cha Ligi ya Wanaume

1. Aishi Manula
2. Shomari Kapombe
3. Mohamed Hussein
4. Joash Onyango
5. Dickson Job
6. Mukoko Tonombe
7. Clatous Chama
8. Feisal Salum
9 . John Bocco

10. Prince Dube
11. Luis Miquissone.

Kikosi bora cha Ligi ya Wanawake;

1. Janeth Shija
2. Julieth Singano
3. Happy Hezron
4. Vaileth Nicholas
5. Fatuma Issa
6. Amina Bilali
7. Stumai Abdallah
8. Opa Clement
9. Aisha Masaka
10. Mawete Mussolo

The post Kikosi Bora Cha Ligi ya Wanaume na Wanawake hiki hapa appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz