Ishu ya Onyango, Daktari Simba Ipo Hivi-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Ishu ya Onyango, Daktari Simba Ipo Hivi-Michezoni leo

BEKI kisiki wa Simba, Joash Onyango, amefunguka kuwa kwa sasa anasubiri kuonana na daktari kwa ajili ya kujua siku ya kurejea uwanjani.

Onyango alipata majeraha kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga ambapo Simba ilikubali kichapo cha bao 1-0.

Akizungumza na Spoti Xtra, Onyango alisema: “Namshukuru Mungu naendelea vizuri ila bado sijaanza mazoezi na timu.

“Tangu timu irudi kutoka Dodoma kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Dodoma Jiji sijaonana na daktari ila natarajia kuonana naye leo (jana) ili aniambie ni lini nitaanza mazoezi na timu.”

~~LEEN ESSAU, DAR

The post Ishu ya Onyango, Daktari Simba Ipo Hivi appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz