HATIMAYE BARCELONA YASHINDA MECHI ULAYA -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

HATIMAYE BARCELONA YASHINDA MECHI ULAYA -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

HATIMAYE Barcelona imepata ushindi wake wa kwanza katika Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuichapa Dynamo Kiev 1-0, bao pekee la mlinzi Gerard Pique katika mchezo wa Kundi E Uwanja wa Camp Nou.
Kwa pointi hizo tatu za kwanza baada ya mechi tatu Barcelona inayofundishwa na kocha Ronald Koeman inapanda nafasi ya tatu, mbele ya Dynamo Kiev yenye pointi moja na nyuma ya Benfica yenye pointi nne na vinara, Bayern Munich wenye pointi tisa.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz